Weusi wazee wa A city ni nomaaaa jombaa!

A JUSTMAN

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
439
555
Salaamu kwenu!

Hawa jamaa kundi la weusi mie nawapenda sana halafu uzuri ni kuwa nina kipaji cha kufoka foka ila nafoka kwa vina vilivyo na mpangilio na maana, falsafa na ujumbe mzito.

Sasa nimeona nikikutana na hawa mafundi kutoka A citi nikafanikiwa kufanya nao ngoma moja hakika tutaupeleka mziki wetu kimataifa zaidi na mimi pia nitaeza kutoboa kwenye game maana bado nasota na kama mjuavyo hiphop nayofanya kwa bongo inachangamoto zake.

So wakuu mwenye link/contact na hili kundi la weusi naomba mnipe najua humu hakiharibiki kitu.

Shukrani sana kwenu.
 
Back
Top Bottom