Nakubaliana na wewe, kulikuwa pia na madogo wa B2K na nyimbo kama Girlfriend nao walishika kipindi fulani.Mkuu kuna Michael Learns to Rock,hawa jamaa nao walikua wakali kinoma. Kuna ngoma yao inaitwa Love will never lie inabamba mpaka leo ukiisikiliza.
Sleeping childMkuu kuna Michael Learns to Rock,hawa jamaa nao walikua wakali kinoma. Kuna ngoma yao inaitwa Love will never lie inabamba mpaka leo ukiisikiliza.
BoysIIMen98 Degree. Kuna jamaa wanaitaa Boyzone. Michael Learns to rock. Aboubakar sadiq upo wapi iku hizi
Bosi hili kundi sikuliweka hapa coz halifani na hayo mengine, ntakuletea makundi ya kufananisha na Boyz II MenKundi Bora ni
BOYZ II MEN
ila tu coz ni black basi hawakufikiriwa pamoja na ngoma zao nzuri!
westlife???
Taja nyimbo zao hata 5 tu hazifiki
Taja za Boyz ll men utashangaa miujiza
Plus mashairi yaliyopangika!