Tatizo ni viongozi wa klabu za soka hapa nyumbani hasa Simba na Yanga
Mrisho Ngasa,Athuman Idd,Henry Joseph,Shadrack Nsajigwa,Haruna Moshi hawa wana uwezo wa kucheza soka la kulipwa huko Ulaya hata daraja la pili
Wenzetu kenya kuna Oliech,Mariga,DRC-Nonda,Lualua,Uganda-Nsereko,Obua kwa nini Tanzania tushindwe kutoa wachezaji hata Sweden,Norway etc