Werema, aibu tupu

Werema, aibu tupu

nzanga

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Habari za jioni Wanajamiiforum? Nimekuwa nikifuatilia session ya jioni ya Bunge,kubwa likiwa ni mjadala wa mabadiliko ya sheria mbalimbali.Mchangiaji wa kwanza, baada ya hotuba ya kambi rasmi ya upinzani,alitoa hoja ya kuahirishwa kwa mjadala,kutokana na mapungufu mengi,lakini kubwa ni pale A.G aliposimama na kusema anapenda mjadala uendelee kwa kuruhusu mabaya yaliopo yaachwe na mazuri yachuliwe,ili hali hoja ni moja tu.
 
Jamaa anapenda kudumisha mila so msimshangae sana
 
ila kweli anadumisha mila na desturi, mi sishangai hata kidogo
 
Dats why naichukia hii serikali ya ******, mtu akija na constructive idea miccm inaingia na negatives contribution yaani hili linchi linaongozwa na mata**....***ira
 
Huwa napata tabu sana nikisikia anaitwa JAJI Werema. Huyu jamaa akili zake ni finyu, ndogo, fupi, nyembamba et al kuliko hata Kibajaji Lusinde.

Nani aliyempa Ujaji? I wont be suprised kama akiwa huyu Dr wa graduations.
 
Aibu si kwa Werema peke yake.Hata Habib Mnyaa ameabika sana.Alitaka bunge livunje kanuni eti hoja ikatwe kipande ijadiliwe na nusu irudi serikalini!Lakini cha ajabu zaidi ni yule mama anaekaimu nafasi ya Lukuvi!Huyu mama ni waziri mwandamizi lakini kumbe na yeye ni mbumbumbu wa kanuni!Miaka nenda rudi yuko bungeni lakini ni NANGA wa kanuni za bunge.Yaani na yeye akawa anamuunga mkono Mnyaa kukiuka kanuni kwa kujadili kipande cha hoja!Sasa sijui hoja ingemegwa nusu hiyo nyingine ingerudi kwa jina la hoja gani?Nilitamani Tundu Lissu asingewastua kwa mwongozo,ili waimege nusu halafu tushuhudie UJINGA kamili wa bunge letu.AIBU TUPI!
 
ila kweli anadumisha mila na desturi, mi sishangai hata kidogo

Anadumisha mila gani? wakurya sisi sio wajinga kama yeye, sijui labda ana asili ya ukwere huyu maana tabia yake kama ya wakwere hivi
 
Ninashangaa huyu jamaa alifikiaje cheo cha ujaji! Alifauluje? Utendaji wake tangu ashike hiyo nafasi ya kitaifa ni sawa na mwenyekiti wa mabaraza ya kijiji.

Ashakum si matusi kama ingekuwa mwanadada ningeamini ni za "chupi". Maajabu duniani hayaishi.
 
mwenye macho haambiwi tazama. sasa tumejua, nani ni nani kati ya Werema na Tundu Lissu Jaji. namsamehe Mnya na wale maladies wawili kwa sababu hawajatutisha na vyeo vyao.
 
mwenye macho haambiwi tazama. sasa tumejua, nani ni nani kati ya Werema na Tundu Lissu. namsamehe Mnya na wale maladies wawili kwa sababu hawajatutisha na vyeo vyao.
 
madaraka ya kupeana ndio madhara yake
kweli ndugu yangu na masikitiko makubwa zaidi eti alikuwa jaji! nani alimteua kuwa jaji? ina maana kuna majaji wengine ktk mahakama zetu wa aina hii.
 
Hoja haina mashiko aibu ipi au kujishebedua mtoto utaolewa humu!
 
kweli ndugu yangu na masikitiko makubwa zaidi eti alikuwa jaji! nani alimteua kuwa jaji? ina maana kuna majaji wengine ktk mahakama zetu wa aina hii.

Jk kamteua.bora katiba itake kusaili kama ken
 
Majaji wanateuliwa na Raise. U only need a bachelor degree in law (hata kama gentleman) na experience ya miaka kumi as a magistrate, an advocate or holding qualification to be admitted as an advocate. Sasa ndo hawa hawa! Wanateuana pasipo uwezo
 
kuna siku mambo yalipo mbana alisema hivi......'' Mhedimiwa spika naomba niwakumbushe wabunge kuwa mimi pia Jaji ....''

Hapo ndipo nilipo jua uwezo wa huyu jamaa ktkt kupambana dhisi ya hoja tete
 
Back
Top Bottom