Wenzetu wanawasaka magaidi kitofauti!!!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,920
Reaction score
15,166

Kule kwa Baba Moi, siku hizi kwa kijana Uhuru, wana mbinu tofauti za kusaka magaidi, hasa wanapokutana na vikwazo!
Halafu huku vijana wanabeza JKT!!!
 
kama ni kwa sandals heri tuwaache tu
 
Huyu ni mtoto wa kigogo hawakuweza kumtoa kwenye ajira hata kama si hodari wa kazi
 
Traffic wamekuwa JWTZ

Good, naona IQ yako imeboreka sasa, mara nyingine ukiona sare yoyote usikimbilie kutaja kikosi bila ufahamu maana utajiaibisha. Sasa kwa wengine kama wewe wasiojua sare za KDF, hii hapa ngoma yao.





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…