Wakili wa shetani JF-Expert Member Joined Nov 22, 2022 Posts 2,156 Reaction score 4,077 Aug 10, 2026 #1 Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.
Salama ndugu zetu? Ni muda mrefu ndugu zenu watanganyika hatujawasikia, mmekuwa kimya sana. mnaendeleaje kiafya na kiuchumi? Ni matumaini yetu mpo vyema. Mkipata hizi salamu tafadhali mtujibu.