Wenzako amepata (TPA) Marks 96-70 wewe 28-14 Marks, tunabania wenzetu Utumishi.

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Nmeangalia matokeo yaliyotoka nkaona kwelii kuna watu wapo vzuri na Vilaza pia wapo, lakini kama mtu anajiona yupo incompetent kwanini anaomba nafasi, TPA kipindi wanasahihisha nadhani kwa pepa nyingine ilikuwa mteremko sana.
Hongera kwa waliofanya Fresh lakini walioshindwa wasikate Tamaa nafasi ikitokea tena Apply kama Kawaida mpaka Ufanikiwe.
 
Duuhh kumbe mpk process za kutafuta kazi kuna kutungiana mapepa .....Daah hii dunia haiko fair ....
 
Nmeangalia matokeo yaliyotoka nkaona kwelii kuna watu wapo vzuri na Vilaza pia wapo, lakini kama mtu anajiona yupo incompetent kwanini anaomba nafasi, TPA kipindi wanasahihisha nadhani kwa pepa nyingine ilikuwa mteremko sana.
Hongera kwa waliofanya Fresh lakini walioshindwa wasikate Tamaa nafasi ikitokea tena Apply kama Kawaida mpaka Ufanikiwe.
Wengine wanazama na smartphone mkuu, kuna exception kibao tuu kwenye iyo
 
Vijana hawako serious kuna mmoja kaja leo pale DIT kaja kufanya interview ya pili bila kujua kama ya kwanza alifaulu au la kaja jina halipo kuulizwa anajitetea kuwa aliambiwa na mwenzie kuwa wote wameambiwa waende,Mwengine kaja saa tatu wakati interview ilianza saa moja excuse ni foleni
*? Sometimes tunawalaumu bure tu mamlaka zinazohusika na zoezi la kuajiri**
 
Back
Top Bottom