Wenyeviti Chadema watimkia CCM

Nakushukuru sana kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa ukiwaacha kwa mbali kina Wakudadavua na Jinga lao
Ndio Siasa

Hata Jana Kwenye Press conference ya Mbowe alipokuwa anataja Vyama bya Upinzani vyenye nia ya dhati aliitaja Pia ACT ya Zitto Kabwe Msaliti aliekuwa anaiba Siri Za Chadema Na kupeleka Usalama wa Taifa

In God we trust
 
Cha kufurahisha Huyo aliyerudi CCM akitoka Hapo anaenda kushinda njaa
 
Kwenda kule..unapoteza muda mutuambia huu uharo wako..nakushauri nenda katafute nchi ya kuishi..mapema
 
Cha kufurahisha Huyo aliyerudi CCM akitoka Hapo anaenda kushinda njaa
Kwani alivyokuwa huko alikuwa anashiba..? Si heri uwe sehem yenye matumaini kuliko kuwa katika chama cha kifamilia..kuna matumaini pale..??
 
Ndio Siasa

Hata Jana Kwenye Press conference ya Mbowe alipokuwa anataja Vyama bya Upinzani vyenye nia ya dhati aliitaja Pia ACT ya Zitto Kabwe Msaliti aliekuwa anaiba Siri Za Chadema Na kupeleka Usalama wa Taifa
Hahahahahaha hio ndio si a sa. Wacheni ccm watawale milele tu..huku kwingine tynawatengenezea watu ulaji tuu
 
Bora wamehama labda bei ya sembe nayo itashuka bei
 
Kwani alivyokuwa huko alikuwa anashiba..? Si heri uwe sehem yenye matumaini kuliko kuwa katika chama cha kifamilia..kuna matumaini pale..??
Mkuu mia yote ni matumaini tu ? Pesa za CCM tunakula sisi ambao hatuipendi CCM. Jiongeze ndugu ;unadhani kuna kazi gani anakifanya Mzee Mangula ambalo kijana hakiwezi kukifanya ? Kaa na matumaini hivyo hivyo.
 
kama ni mmoja wa watu wanaowaumiza watu ua kuwateka na kuwapoteza au ni mmoja wa wanufaika na udhalimu huu unaanzaje kuacha kuukubali/
Na inawezekana yeye ana shida kuliko wewe, anachokikubali ni kwa sababu ndugu yake katumbuliwa. Kuna watanzania wengi wanaoishangilia ccm kwa sababu nurse, au mwalimu katumbuliwa na bado anashida kuliko aliyetumbuliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo Muro anahisi kuwarubuni wapinzani kuhamia ccm anapoonekana kwenye makamera ndio anamfurahisha mkuu. mbona kila siku ni viongozi tu wanaunga juhudi? mbona wananchi ambao ndio wapiga kura wenyewe hatuwaoni wakiunga juhudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…