hata wakihama wote upinzani wa kweli utabaki siwezi kuunga mkono serikali iliyokuja nyumbani kumkamata ndugu yangu kisha nikarudishiwa maiti ya ndugu yangu baada ya kuchomwa kisu na polisi, siwezi kuiunga mkono serikali iliyonibomolea nyumba kimakosa na ikakataa kunilipa fidia, siwezi kuikubali serikali iliyosababisha mwanangu akafariki kwa kukosa dawa ya nyoka n.k
Wenyeviti Saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Wilayani Arumeru mkoani Arusha wamejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika ziara ya kikazi ya Mkuu wa wilaya hiyo Ndugu Jerry Cornel Muro katika Kata ya Maji ya Chai.
Wenyeviti wameamua kujiuzulu baada ya hapo juzi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Ndugu. Joshua Nassary kuvuliwa ubunge na Spika wa Bunge la Tanzania baada ya kutokuhudhuria vikao vitatu vya bunge mfululizo
Dc Muro akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Meru Mwalimu Kanuthi wamewapokea wenyeviti hao walioleza kuwa wameamua kujiunga na CCM ili kumuuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake Sambamba na kumpongeza Mkuu wa Wilaya hiyo kwa kazi anazozifanya na namna anavyotatua migogoro ya wananchi
Mwenyeviti waliopokelewa ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ngurdoto Ndugu Mosses Ayo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Maji ya Chai Ndugu Mase David Mbise pamoja na hapo amewapokea wenyeviti wa vitongoji vitano ambavyo ni Ndugu Perfect Philemon Mwenyekiti wa kitongoji cha Bondeni,Laurant Kessy Kitongoji cha Mburueshi, Elisante Akyoo Kitongoji cha KCenter Mwenyekiti wa kijiji cha Seneto Ndugu Christopher Mbise pamoja na Ndugu Amani Kitali Mwenyekiti kitongoji cha Kimandafu.
Sawa, pole sana, ndugu kauliwa na polisi, umevunjiwa nyumba, una haki kuichukia, bila kuhalalisha hilo, ujue kuna wengine wana sababu kedekede za kuunga mkono.hata wakihama wote upinzani wa kweli utabaki siwezi kuunga mkono serikali iliyokuja nyumbani kumkamata ndugu yangu kisha nikarudishiwa maiti ya ndugu yangu baada ya kuchomwa kisu na polisi, siwezi kuiunga mkono serikali iliyonibomolea nyumba kimakosa na ikakataa kunilipa fidia, siwezi kuikubali serikali iliyosababisha mwanangu akafariki kwa kukosa dawa ya nyoka n.k
Wenyeviti Saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Wilayani Arumeru mkoani Arusha wamejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika ziara ya kikazi ya Mkuu wa wilaya hiyo Ndugu Jerry Cornel Muro katika Kata ya Maji ya Chai.
Wenyeviti wameamua kujiuzulu baada ya hapo juzi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Ndugu. Joshua Nassary kuvuliwa ubunge na Spika wa Bunge la Tanzania baada ya kutokuhudhuria vikao vitatu vya bunge mfululizo
Dc Muro akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Meru Mwalimu Kanuthi wamewapokea wenyeviti hao walioleza kuwa wameamua kujiunga na CCM ili kumuuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake Sambamba na kumpongeza Mkuu wa Wilaya hiyo kwa kazi anazozifanya na namna anavyotatua migogoro ya wananchi
Mwenyeviti waliopokelewa ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ngurdoto Ndugu Mosses Ayo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Maji ya Chai Ndugu Mase David Mbise pamoja na hapo amewapokea wenyeviti wa vitongoji vitano ambavyo ni Ndugu Perfect Philemon Mwenyekiti wa kitongoji cha Bondeni,Laurant Kessy Kitongoji cha Mburueshi, Elisante Akyoo Kitongoji cha KCenter Mwenyekiti wa kijiji cha Seneto Ndugu Christopher Mbise pamoja na Ndugu Amani Kitali Mwenyekiti kitongoji cha Kimandafu.
kama ni mmoja wa watu wanaowaumiza watu ua kuwateka na kuwapoteza au ni mmoja wa wanufaika na udhalimu huu unaanzaje kuacha kuukubali/Sawa, pole sana, ndugu kauliwa na polisi, umevunjiwa nyumba, una haki kuichukia, bila kuhalalisha hilo, ujue kuna wengine wana sababu kedekede za kuunga mkono.
Usituone mafara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi ni mafara ndio kama mnaipenda fungeni nayo ndoa msitupigie kelelelSawa, pole sana, ndugu kauliwa na polisi, umevunjiwa nyumba, una haki kuichukia, bila kuhalalisha hilo, ujue kuna wengine wana sababu kedekede za kuunga mkono.
Usituone mafara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wanahama na vyeo vyao?
Wenyeviti Saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Wilayani Arumeru mkoani Arusha wamejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika ziara ya kikazi ya Mkuu wa wilaya hiyo Ndugu Jerry Cornel Muro katika Kata ya Maji ya Chai.
Wenyeviti wameamua kujiuzulu baada ya hapo juzi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Ndugu. Joshua Nassary kuvuliwa ubunge na Spika wa Bunge la Tanzania baada ya kutokuhudhuria vikao vitatu vya bunge mfululizo
Dc Muro akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Meru Mwalimu Kanuthi wamewapokea wenyeviti hao walioleza kuwa wameamua kujiunga na CCM ili kumuuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake Sambamba na kumpongeza Mkuu wa Wilaya hiyo kwa kazi anazozifanya na namna anavyotatua migogoro ya wananchi
Mwenyeviti waliopokelewa ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ngurdoto Ndugu Mosses Ayo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Maji ya Chai Ndugu Mase David Mbise pamoja na hapo amewapokea wenyeviti wa vitongoji vitano ambavyo ni Ndugu Perfect Philemon Mwenyekiti wa kitongoji cha Bondeni,Laurant Kessy Kitongoji cha Mburueshi, Elisante Akyoo Kitongoji cha KCenter Mwenyekiti wa kijiji cha Seneto Ndugu Christopher Mbise pamoja na Ndugu Amani Kitali Mwenyekiti kitongoji cha Kimandafu.
Ha ha ukiwa na raisi zero capacity hizo ndio news utasikia watapanga watu then i wanasema wamehama that's a loughing stalk mazero brainNassari kaanza kurudisha Nyumbani kundi lake kabla ya Yeye kurudi rasmi
Hata Mzee Ngoyai watu wake wa Monduli walianza kurudi kabla ya yake
Bana Mwerevu huwa wa Mwisho kuingia ndani wakitoka Na familia kuzurura/ kutembea
Kumbe bado bado lowasa ana thamani ndani ya ccm[emoji122][emoji485][emoji898]Nassari kaanza kurudisha Nyumbani kundi lake kabla ya Yeye kurudi rasmi
Hata Mzee Ngoyai watu wake wa Monduli walianza kurudi kabla ya yake
Bana Mwerevu huwa wa Mwisho kuingia ndani wakitoka Na familia kuzurura/ kutembea
acha uongohata wakihama wote upinzani wa kweli utabaki siwezi kuunga mkono serikali iliyokuja nyumbani kumkamata ndugu yangu kisha nikarudishiwa maiti ya ndugu yangu baada ya kuchomwa kisu na polisi, siwezi kuiunga mkono serikali iliyonibomolea nyumba kimakosa na ikakataa kunilipa fidia, siwezi kuikubali serikali iliyosababisha mwanangu akafariki kwa kukosa dawa ya nyoka n.k
Wee baki tu na mihasira yako na kisasi wengine wanaenda na awamu hii ya maendeleo.hata wakihama wote upinzani wa kweli utabaki siwezi kuunga mkono serikali iliyokuja nyumbani kumkamata ndugu yangu kisha nikarudishiwa maiti ya ndugu yangu baada ya kuchomwa kisu na polisi, siwezi kuiunga mkono serikali iliyonibomolea nyumba kimakosa na ikakataa kunilipa fidia, siwezi kuikubali serikali iliyosababisha mwanangu akafariki kwa kukosa dawa ya nyoka n.k
Kumbe bado bado lowasa ana thamani ndani ya ccm[emoji122][emoji485][emoji898]
In God we trust
Lowassa alitumia Chadema kuifuta list of shame Na Baada ya kumaliza kasi karejea Nyumbani
Chadema wana ubavu wa kurudisha list of shame?
Bado hujanijibu swali langu ndugu yangu Pohamba nimeuliza hivi...kwani mzee Lowasa kwa sasa anayo thamani ndani ya ccm?
In God we trust
Tumechoka na haya mahoka!!! Hivi watu hawana kazi? Kuhangaika tu na vyama vya siasa!!!!! Leo huku kesho kule!!! Mtu anatakiwa awe na msimamo!!!!
Wenyeviti Saba wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ) Wilayani Arumeru mkoani Arusha wamejiunga na Chama cha Mapinduzi CCM katika ziara ya kikazi ya Mkuu wa wilaya hiyo Ndugu Jerry Cornel Muro katika Kata ya Maji ya Chai.
Wenyeviti wameamua kujiuzulu baada ya hapo juzi aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Ndugu. Joshua Nassary kuvuliwa ubunge na Spika wa Bunge la Tanzania baada ya kutokuhudhuria vikao vitatu vya bunge mfululizo
Dc Muro akiwa ameambatana na Katibu wa CCM Wilaya ya Meru Mwalimu Kanuthi wamewapokea wenyeviti hao walioleza kuwa wameamua kujiunga na CCM ili kumuuunga mkono Rais John Pombe Magufuli kwa utendaji kazi wake Sambamba na kumpongeza Mkuu wa Wilaya hiyo kwa kazi anazozifanya na namna anavyotatua migogoro ya wananchi
Mwenyeviti waliopokelewa ni Mwenyekiti wa kijiji cha Ngurdoto Ndugu Mosses Ayo, Mwenyekiti wa Kijiji cha Maji ya Chai Ndugu Mase David Mbise pamoja na hapo amewapokea wenyeviti wa vitongoji vitano ambavyo ni Ndugu Perfect Philemon Mwenyekiti wa kitongoji cha Bondeni,Laurant Kessy Kitongoji cha Mburueshi, Elisante Akyoo Kitongoji cha KCenter Mwenyekiti wa kijiji cha Seneto Ndugu Christopher Mbise pamoja na Ndugu Amani Kitali Mwenyekiti kitongoji cha Kimandafu.
Anayo Tena kubwa sana
PM wa zamani
Mbunge wa zamani
Waziri wa zamani
Mwana CCM mpya
Mgombea Urais wa Ukawa 2015
Binafsi nimekuelewa vipi kina Msukuma Kasheku na polepole walio kuwa wanambeza na kumtukana matusi yasiyo stahili?wanamchukuliaje?
In God we trust