Wenyeji ni akina nani hapa??

Chuck Todd

New Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
3
Reaction score
0
Kwa yule ambaye ni mwenyeji zaidi ya woote ndiye naye muulizia! Wenyeji wangu mnamjua!
 
karibu sana, wenyeji watakuja muda si mrefu! wapo mtaa wa jirani wa arumeru mashariki wanafuatilia kampeni, si unajuwa tena leo ndiyo lala salama.
 
karibu sana, wenyeji watakuja muda si mrefu! wapo mtaa wa jirani wa arumeru mashariki wanafuatilia kampeni, si unajuwa tena leo ndiyo lala salama.

woote ni wapiga kura wa merumeru!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…