Wenye wachumba sekondari na vyuoni jiandaeni kisaikolojia

mi mmojawao...yaani sijui mtoa mada kaigunduaje hii!
Ngoja niseme kitu huwa inatokea maranyingi labda pale ulipokuwa na mtu mliokuwa mnapendana ikatokea hitilafu mkaachana....sasa athari mara nyingi huwa kwa upande wa mwanamke umri pengine umeenda pengine unaitaji mtoto...anatokea mtu humpendi toka moyoni kama anavyokupenda yeye....mnaanzisha mahusiano ilimradi liende ukipata chance ya kuwa mbALI NAE EITHER kimasomo au kikazi ni rahisi kumsaliti kwa kuwa you dont feel him!!
That it fact!....na ipo sana si uhuni ila ni kwamba hisia kwa yule hakuna na unakuja kumpata unayempenda....kwa kweli ni tatizo kubwa...pengine iundiwe TUME!
 
LifeHacker heshima kwako mkuu!!! Je hizi ndoa za kampas(mahusiano kati ya student na student hasa chuoni) unazisemeaje?
 
Last edited by a moderator:

Kama requirement yako ni being smart, basi ukikutana na #SMARTER guy imekula kwake (i mean anayemzidi wako, ambao ni wengi tu).
 
Kama requirement yako ni being smart, basi ukikutana na #SMARTER guy imekula kwake (i mean anayemzidi wako, ambao ni wengi tu).

I didn't mean what you translated.
Nilichomaanisha if love is there and the guy is smart.......hata ukutane na Billgate it won't drive you.
Period
 
LifeHacker heshima kwako mkuu!!! Je hizi ndoa za kampas (mahusiano kati ya student na student hasa chuoni) unazisemeaje?

Hizo ndoa ni kamari, movies, comedies, show off, swagger, halafu zina attachments ambazo ni tofauti na love. They depend on financial status, material wealth e.g car and academic ability, sometimes intellect (a girl being affectionate to a guy because he is academically excellent or he is able to reason logically), so they are subject to vanish without further notice.
 

Hii ni pande zote mkuu.,mimi nilimaliza chuo nilikua na demu karibia miaka sita.Nilipoanza kazi nikakutana ni mdemu wa ukweli ofisini. Nikapiga chini wa chuo nikakamata wa ofisini.
 
Mkuu wa 27 washagegedwa vya kutosha mpaka basi
Wala usijali kwani hilo nalo ni Somo
Wangepitia JKT mwaka mzima ndio wangepevuka kabisaa
JKT mapenzi ni miezi 2 au 6 km Afande hajakunyang'anya
 

Naunga mkono hoja!
 
Mimi ndo maana napenda kukoboa ngozi za wajane maana yeye ukimkoboa vizuri ni faraja tosha lkn mitoto ya vyuo hata ukoboe hadi uchubuke akipita wa kipato cha juu anakoboa na vyanafunzi vinakobolewa ngozi hvyooooooooooo
 
Mimi Arovera na Jembe Afrika tunakoboa ngozi za wajane taratibu bila matatizo
 
Mtoa mada umegusa sana,naomba usinikumbushe yaliyonikuta miaka kumi na moja iliyopita nilikuwa na binti mmoja tumeanza nae mahusiano nae tangu akiwa fomu one,niljitahidi kumhudumia kila kitu,simu alikuwa halali kama hajasikia sauti yangu.alipojiunga chuo kikuu hapo UDSM mambo yakanza kubadilika na hatimaye nilitumiwa message moja siku moja inasema YOU ARE NOT MY TYPE PLEASE STAY AWAY.ilibidi watafutwe wataalamu wa saikolojia wanisaidie nashukuru sasa nimeshasahau mimeoa mwingine maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…