Wenye vitumbo pitieni makavu yenu

Tena umenikumbusha kwenda kununua chips..😋😋 mweeh

Achana na vitambi vyetu
 
Sasa mbona maelezo yako yamejikita kwa wanawake tu.
Wanawake ni maua inabidi mdhihirishe kweli kuwa nyie ni maua sasa unafuga mtumbo kama kidumu cha petrol unazani utakuwa ua tena hapo
 
Sipendi kulakula ovyo ndomana
Tupo wachache wastarabu kwenye chakula.
Yami mie nikila cha mchana kama saa 9 hivi.
Baada ya lisaa limoja hata nikutane na chakula gani siwezi kula.
Lakini mwingine hapo bado anaendelea kula kula tu, karanga, mahindi, soda, sambusa, mihogo
Ukiona hivo unene na kitambi unakuvuta vizuri tu.
 
Back
Top Bottom