MME: Nilitamani sana muda huo ufike. MKE: Vipi wataka niondoke? MME: Hapana hata kidogo. MKE: Unanipenda? MME: Ndo maana ake... MKE: Utaniletea demu mwingine ndani? MME: Siwezi kufanya huo upuuzi. MKE: Utanibusu kwa penzi la dhati milele? MME: Kila mara MKE: Je utanipiga? MME:Aaagh haiwezi tokea hata mara moja. MKE: Naweza kukuamini kweli? MME: Ndio... MKE: Aaagh Mpenziiiiii...............!!
Ukitaka kujua baada ya Ndoa sasa mambo huwaje? Anza kusoma hayo maandiko kuanzia chini ukipandisha juu...!!
Chezea Ndoa wewe...!!