Wenye uzoefu wa kudate na mabinti walio under 20yrs tu!!

Huwezi kuamini mimi na bahati mbaya kweli kupendwa na vi binti vya miaka 20.

Vingine vinanieleza hasa vinapenda old people.

Lakini mimi si act film, ningekuwa the greatest ninge isha vionja.
 
Msubiri ray kagosi najua atakuwa anauzoefu mkubwa sana wa kutatua shida yako.Manake ndo mtaalamu aliyebaki
 
Duuh JF is more than social network, kuna watu wanapendaga kutunga story humu. Mara napendwa na dokta mara watoto wa chini ya miaka 20, mara nimemtia mimba.

Yani vitukozzzzzzzzzzzzz:A S angry:
 

Achana na watoto wadogo pasua kichwa...hawaeleweki wala hawaelewi wanataka nini. Wanafikiria tofauti sana na wewe unavyofikiri juu ya maisha. Issue inakuwa namna ya ku synchronize two thoughts....
 

Unajitafutia kupata brain concusion mkuu..
 
Duuh JF is more than social network, kuna watu wanapendaga kutunga story humu. Mara napendwa na dokta mara watoto wa chini ya miaka 20, mara nimemtia mimba.

Yani vitukozzzzzzzzzzzzz:A S angry:
Hapo naona kama unanizungumzia vile, si unajua si kulaumu ndo raha ya kupata mwanamke anaye kupenda.
 
Geuka treni, kakikaa katikati ya reli unakagonga, kakiwa pembeni ya reli unakapigia honi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…