interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,411
Mzee wa ID 5 nimekubamba kwa [emoji723] ya pili, bado zingine 2 [emoji1]Kama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee [emoji28]
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Hahaha [emoji28][emoji28]Baba Salehe huyo anatushangaza sana Me wenzake [emoji30][emoji87]
HahahaMzee wa ID 5 nimekubamba kwa [emoji723] ya pili, bado zingine 2 [emoji1]
Mkuu wali ukipika na nazi ukampikia baby wako mara moja moja si mbayaKama hadi Nazi unaweka basi kuna walakini sehemu
Mkuu wali ukipika na nazi ukampikia baby wako mara moja moja si mbaya
[emoji28][emoji28][emoji28]
Yaani mi huwa nawatwist tu wajue bila wao naweza kuishi
Ukweli kwenye ndoa hapo pa kulala kitanda kimoja hamuongei ni janga sana. Hapo mi naonaga wanawake wanafeli sana. Kwa mwanaume kumnunia mwanamke ni maajabu.Niliishi nakimada mwezi mmoja aiseee Sina hamu yakuoa kabisa hata yakubanana tena kama ndizi.....wiki yakwanza fresh wiki yapili fresh kidogo, wiki yatatu nikaanza kupangiwa mda wakurudi wiki yanne nikaanza kuulizwa kila namba niliyoisave kwajina lakike kwenye simu yangu namaelezo kila namba niitolee, wiki yatano nikichelewa nanuniwa ile ile yaani, nikaanza kuishi kwamashaka maana kulala bed moja namtu ambaye hamuongei yataka moyo. Yalinishinda aiseee nasitamani tena kuishi na mwanamke
HAHAHA KULA KWA KWELI NI MOJA YA BURADANI AMA STAREHE MOJA WAPO KWENYE JAMII UKIACHIA KUWA NI SWALA LA MSINGI LA UHITAJI KIBINADAMU. ILA SIKU HIZI MOST OF SUPER WOMEN HAWAINGII JIKONI.Natumai wote tuko kwenye majukumu yetu ya kujenga Tanzania yetu. (Msitushangae wengine tulikuwa tunaijenga usiku side by side na wabomoaji Taifa)
Navojua mimi hakuna kitu kizuri kama umefika home (Umechoka?) <- haishauriwi hiii 😉
Okay, umefika home una njaa na umemmiss mamy wa House.
Halafu ye anakuletea
View attachment 1147145
Huku yeye umemkuta
View attachment 1147148
Ama
View attachment 1147150
Yani unakaa pale confused kwanza. Akili ziko 'Ovez'. Unashindwa kujua uanze kula kipi sasa.
Asikuambie mtu, mwanamke anayejua kupika ni bora sana katika ndoa. Kuvaa kanga tutafundishana na ni kozi ya cku1 tu. Ila kupika jamani ni muhimu sana kwa wake zetu.
Kwa niaba ya wanaume tuliooa tuwashukuru sana wanawake walio katika ndoa na wanajua umuhimu wa kumpikia mume na watoto. Japo wengine hawapati muda sana lakini hujitahidi. Muishi milele na mfanikiwe!!!!
Adi mm mkuuKama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee [emoji28]
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Sema mm mapenzi yanliumiz kidogoKama ndo wanapata hizo raha basi sawa
Ila sisi wanaume tunaujua kupika , sijui kwa nini hatuwazagi kuoa
Yaani aisee [emoji28]
Mi hadi wali naweka nazi !
Jiko la mkaa , la gesi , la umeme yote nimo
Kuoa siwazi kabisa !
Busara tupu. Kama uta/nayatenda haya katika ndoa yako, ni wazi kuwa utakuwa na ndoa ya furaha sana.Kauli hii si mara ya kwanza naisikia.
Chakula, usafi na kauli safi ni silaha tosha katika NDOA.