Ni kweli kabisa!
Basi tulipata msiba mkoani, watu karibu 10 wananiuliza -unakwenda?
Kama unakwenda nipe lifti.
Nikawapa lifti watatu.
Basi hawatoi hela ya mafuta, ila wakati wa kurudi kila mtu kanunua vyakua mpaka mimi nakosa nafasi ya kuweka vya kwangu.
Na mkifika kila mtu anataka apelekwe nyumbani kwake.
Siku hizi nawaambia siendi au nalala pale njiani na naondoka usiku, kila mtu ajitegemee gesti tukifika mahala fulani.
Wanapungua karibia wote.