NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Oct 29, 2019 8,672 17,770 Dec 30, 2023 #1 Wakuu Husika na mada hiyo!! Kuna watu wananishawishi nijiunge na hii kitu,Dream line technology na swaga kibao za post watu wanapiga hela! Kuna mtu amewahi kupiga Hela Kwa mfumo huu!? Au ni here say kama za kina Mr kuku,Deci na n.k! Nasubiri!
Wakuu Husika na mada hiyo!! Kuna watu wananishawishi nijiunge na hii kitu,Dream line technology na swaga kibao za post watu wanapiga hela! Kuna mtu amewahi kupiga Hela Kwa mfumo huu!? Au ni here say kama za kina Mr kuku,Deci na n.k! Nasubiri!
Ihayabuyaga JF-Expert Member Aug 22, 2011 413 480 Dec 30, 2023 #2 Ukiingia kwa ajili ya kupata wanachama walio chini yako ili uwe na chain yako utachanganyikiwa mapema ila ukiingia kama mtaalam utafaidi
Ukiingia kwa ajili ya kupata wanachama walio chini yako ili uwe na chain yako utachanganyikiwa mapema ila ukiingia kama mtaalam utafaidi
Pain killer JF-Expert Member Aug 15, 2017 14,219 21,369 Dec 30, 2023 #3 Kama huna nguvu ya ushawishi achana na huo biashara utaonekana umetapeliwa kumbe wewe ndio hujui kitu .... Hio Ni networking maana yake uwe na team yako ,uwe na uwezo WA kumshawishi watu kufata chain yako .... Networking kama una team yako wakawa wanawekeza Kila ukipata platform unatengeneza pesa ...... Kama huna nguvu ya ushawishi ,hauwezi hata kumshawishi MTU arisk million kwenye biashara hio ,basi huna kitu utapata
Kama huna nguvu ya ushawishi achana na huo biashara utaonekana umetapeliwa kumbe wewe ndio hujui kitu .... Hio Ni networking maana yake uwe na team yako ,uwe na uwezo WA kumshawishi watu kufata chain yako .... Networking kama una team yako wakawa wanawekeza Kila ukipata platform unatengeneza pesa ...... Kama huna nguvu ya ushawishi ,hauwezi hata kumshawishi MTU arisk million kwenye biashara hio ,basi huna kitu utapata