ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu

Kwa hapo mkuu, me naona uwe mpole kiroho safi kabisa, usije ukaenda chuo chako cha zamani alafu ukajikuta ni miongoni mwa wale transfer zao zilizotik alafu ushalipa tuition fee kwenye chuo chako cha zamani, itakuwa n sheeeda coz utaratibu wa ww kurudishiwa hela yako n mgumu
ni process gan zina chukuliwa kuhamishiwa boom na mkopo na huwa ina tumia km mda gani ..tusaidiaane pleas km ni process ndefu tubaki kwenye vyuo tulivyyo pangiwa tu
Hv hyo mwaka ndo maximum time au hata miaka miwili inawezekana? Na vipi mfano mtu alitransfer kutoka facult ya kawaida yenye 0% akaenda engineering inakuwaje kuhusu asilimia zake? Zitaongezwa au kama kawaida atakomaa na 0% yake??