businezz_oligarch
Senior Member
- Dec 16, 2012
- 145
- 35
mwandae kabla ya tendo.ila ngoja wataalam waje wakupe data
Aaah kumwandaa huwa na mwandaa sana tu na huwa anapenda hzo vtu vya kuandaliwa bt when it comes to my magic stick iingie pale kazini ndo hali ya hewa inachafuka,anakosa raha...bt thank you kwa ushauri mkuu,alaf swali la kzushi nw saa 2AM haulalii???lolz
unamwandaa au unacheza wewe? Ukimwandaa mpaka mashine ikawa tayari ujue mtarimbo utapita tu, ila ukimchezea chezea (mwenyewe ukadhani ndo umemwandaa ) lazima aumie.....
hiyo ni kawaida,baadae atakuwa sawa tu utamu ukimkolea atakwambia dushelee uingize pangoni.cha kufanya maandalizi yawe mengi pangoni usipe kipaombele
wana JF naomba ushauli katika hili,nina mpenzi wangu ambaye mimi ndiye mtu wake wa kwanza yaan nlimtoa bkra,kitu kinachonisumbua na kuniumiza akili ni wakati "tunapokutana" huwa analalamika anasikia maumivu na huwa hasikii raha cz ya maumivu,na sasa hivi tuna muda wa kama mwezi toka tuanze kukutana lakin stil analalamika maumivu..kwa mtu aliyewai kuwa na mwanamke ambaye si bkra,na anajua mapenz alaf badae akaja kupata mwanamke bkra kuna ile raha ya ule mchezo anaikosa ambayo alikuwa anaipata kwa mwanamke wa kwanza...najua kuna wengne watakuwa na expernc zaidi ya bkraz..so nahtaj msaada wenu cz somtymz nataman kutoka nje bt i stil love my girl,sema ikija kwenye hlo swala huwa sina raha kabsa...sasa cjui ni tatzo la psychology au maumbile,