Benki inaakaunti aina nyingi, zingine zina makato na nyingine hazina makato. Zenye makato ni kati ya Tsh 800 hadi 7000! Savings akaunti ndio zinatozo ndogo. Kaunta ni tsh 700 tu. Kuhusu huduma ya kibenki kwa simu, aisee ni safi sana na tozo ni Tsh 200 hadi 1000 kutegemea na aina ya huduma. Mimi ni mteja wao, huduma nzuri , uwazi na yenye maadili safi. Njoo tuwaunge mkono.