Sabato masalia
JF-Expert Member
- Oct 16, 2011
- 228
- 134
Bodi ya mamlaka ya bandari TPA imewafuta kazi rasmi watumishi wengine 4 baada ya kuwasimamisha kwa uchunguzi, waliofutwa kazi ni Devid Mranda [Mkuu wa usalama],Ayubu Kamti [Mkurugenzi TEHAMA],Mahebe Machibya[meneja ununuzi na ugavi] na Teophil Kimaro[Meneja ununuzi], Bodi itakaa tena wiki ijayo kumalizia waliobaki.
hawa watu wanamchango mkubwa sana kulifilisi taifa hili. kila kona wapo kuliibia taifa hili na ukizingatia wao ndo wengi waliosoma imekuwa shida kweli. ubarikiwe mwakyembe na mungu aendelee kukupa ujasiri tuepukane na janga hili la umasikini.

We una ombwe kubwa sana kichwani mwako tena sna labda ningekuuliza elimu yako ni ip na umesoma chuo mwaka gani umeanza lini na kumaliza lini na course gani umesoma usije kutudanganya hapa na wewe unasifa gani ya ya kwenda kuajiriwa ktk kitengo chochote cha ngazi ya maamuzi ukashindwa kupata kwa ajili ya kabila lako na si kutegemea akili na usomi wa watu wengine ili wewe uje kuwa mtetezi wao hapa....
Within a shrt time ni jf premium member,ni kwa pumba za nmna hiyo kujaza tu database chukua vitabu vy shigongo ukasome....I thimk ndo umemaliza frm 4 mwaka jana
By Sabato masalia

haya ni matatizo yako. kimsingi huwezi kumhukumu mtu kwa kabila lake au dini yake. mhukumu kwa vitendo vyake.msifanye dhambi kama hizi za UBAGUZI.Na ndio maana nchi inazidi kuparaganyika.mwizi ajibu kwa wizi wake na mhujumu wa uchumi ahukumiwe kwa kosa lake.haijalishi. lakini mseji sent and delivered. kama wewe ni miongoni mwao, sorry lakini ukweli unabaki pale pale, mnamchango mkubwa sana kwenye kulifilisi taifa hili. mwisho wenu u-karibu.
Kwa staili hii uwajibkaji utaongezeka .
hawa watu wanamchango mkubwa sana kulifilisi taifa hili. kila kona wapo kuliibia taifa hili na ukizingatia wao ndo wengi waliosoma imekuwa shida kweli. ubarikiwe mwakyembe na mungu aendelee kukupa ujasiri tuepukane na janga hili la umasikini.
Wao husema wanapiga dili....... Hata kwenye vikao vya pombe husema wanapiga dili... Mimi nasema ni wezi.
haatuwabagui. tunawapenda sana tu, hata mimi marafiki zangu wengi ni hao jamaa, niwazuri kwa kweli, ila kwa hili tunawaambia ili wajirekebishe. hatuna nia mbaya nao. nadhani umenielewa. hata mtoto wako akiiba, mseme, atajirekebisha na si kumwangalia tu.haya ni matatizo yako. kimsingi huwezi kumhukumu mtu kwa kabila lake au dini yake. mhukumu kwa vitendo vyake.msifanye dhambi kama hizi za UBAGUZI.Na ndio maana nchi inazidi kuparaganyika.mwizi ajibu kwa wizi wake na mhujumu wa uchumi ahukumiwe kwa kosa lake.