kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 378
- 691
Umeona eeeeeeMimi kuna Ex girlfriend wangu mmoja huwa anatamba sana kwenye mitandao ya kijamii akiwa na boy friend wake!lakini mimi nikipiga simu moja tu narudia tena just a one call!anakuja ghetto tena kwa nauli yake mwenyewe ya kuja na kurudi!nahisi kwangu anapenda zile gemu za Total war point of no return
Umeona eeeeee
Kumbuka kwamba na wewe mke wako atamegwa kama wewe unavyowamega wa wenzio
Wewe kausha tu Fanya yako au tafuta mwingine uwe busy na mambo yako atajirudi tu Mimi nilifanya njia hiyo saizi yeye ndo anateseka balaa na Mimi namkomesha balaaLeo asubuhi nimekaa nikajitafakari Sana
Nampenda Sana huyu mtu ila sioni dalili za yeye kunipenda.ila kumuacha siwezi.namuacha mwezi najirudisha tu mwenyewe.na yeye ananipokea tu hivohivo
Nashindwa kumpenda mtu mwingine na hakuna anachonipa hata basi tu si unipende tu kiukweli wewe mzee
Sema mwanetu uyo demu kakutenda vibaya maana topic zako ni za kutokuwaamin wanawake tu.Habarini wana Jambi wa humu ndani.
Natumai mu wazima kabisa.
Leo nataka niwasanue(niwahabarishe) jambo wakuu jambo ambalo ukubali ukatae ila ukweli ndo nakupa (ndo huo).
Ukubali ukatae, wengi wetu tunaishi na kudate na wapenzi wa watu wengine, ndo mana linaponijia wazo la kuowa hoja za joka jeusi naziweka kipaumbele.
Wengi wao huingia kwenye mahusiano baada tu ya kumpoteza ampendae, kumpoteza huko yawezekana ni kwa kujua (kuachana) au kupotezana tu bila mawasiliano kwa muda mrefu.
Ndo mana inakuwa rahisi ma ex wa mpenzi wako kurudiana na mpenzi wako kirahisi hasa kama walikuwa wanapendana. Kuwa makini kama unataka amani fatilia ya nyuma ya mpenzio achana na porojo za watu ,ety ukimchunguza bata humli akati ni kwa faida yako
NB; nakusanua shtuka shtuka mkuu , mpenzi wa mtu huyoo.
Nampenda huyuu mzee acha tuWewe kausha tu Fanya yako au tafuta mwingine uwe busy na mambo yako atajirudi tu Mimi nilifanya njia hiyo saizi yeye ndo anateseka balaa na Mimi namkomesha balaa
Tumeliwa Sana Ndugu Zangu
Tumechelewa Sana Ndugu Zangu