Wengi tumepita huku

Nilikua napenda sana kushindanisha ring langu na yawezangu na nilikua kila siku ninashinda, kila nikishinda nilikua nasema kua gari langu linakimbia sana na hata wenzangu walikua wanaamini hivyo. Lakini juzi ndio nimegundua kuwa mimi ndio nilikua na mbio kuwazidi wezangu na sio lile belenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…