Hapa Kagame kachemsha kama habari hizi ni za kweli. Nafikiria ni lini D. Cameron anaweza kuonyesha upenzi wake kwa Rayor Sports au APR wazi wazi kama Kagame alivyofanya kwa Arsenal. Anatakiwa subiri aachie Urais wa Rwanda ndo aweze kuoa 'comments' kama hizo. Kama mkuu wa nchi anatakiwa aonyeshe uzalendo kwa timu zake za nyumbani, na kuanza kuwauliza viongozi wa vilabu vya nchi yake na hata kamati ya ufundi kwa nini Timu ya Taifa ya Rwanda haikushiriki AFCON 2012.