Kwangu mimi wenge ni khabari nyingine siwezi kuwa fananisha na extra toka zile Fred Nelson sijui willy Muntu mpaka ulbum ya pentagon pale walifunga kazi hapa jojo ngonda pale etete buengo kule no comment shenghan aah ilikuwa burdan ingawa walikuja kutengana baada ya ulbum ya jb ya ndombolo ya solo iliyokuwa na vibao mwanana kama conseil patcho bana lunda cavallier solitaire masuwa fuex del amour ilikuwa balaa kisha jb na akina mpera wakabaki na bcbg na kutoa titanic humo kuna Omba likala moto ah basi bana wacha niishie hapo sijataja grace toi de Germany wala 48haullier gecoco yule jb anajua kulalamika jamani ngoja wadau wenyewe waje hapa hasa roga roga mimi ni mwanafunzi kwake tena chekechea.