Wema asihukumiwe kwa 7bu ya umaarifu wke, ni mtu kama mm na ww hvo mahtaji tunayopaswa kpata nae haki yke ayapate!
Watu wa ajabu kwel, nanyiny mngekuwa mnaandikwa si mngeandamana make wapo kibao ata wanaomzidi wema!
MWACHENI WEMA, APUMUE JAMANI!
Daaaah, ubnadam kaaaaaaazi!