[video=youtube_share;CVj13lbc1o s]http://youtu.be/CVj13lbc1os[/video]
Nchi ni watu na cha kusikitisha/kufurahisha hawa ndio mastaa wanaoendesha maisha ya Watanzania wengi kwa maana hiyo ndio wanaendesha nchi hii!Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
kuna mastaa wangapi wanatukanagwa apa bongo na wazazi wao hawajihusishi na mambo ya watoto wao? Kwani wenyew ndo hawajazaliwa? Huyo mama wema ni mswahili na shangingi, mbona jackline wolper walimtukana sana na kumwambia ananuka K , wewe uliona mama yake kaingilia hata siku moja? Mama wema mswahili sana yule na dawa yake ipo jikoni lazime akimbie mji huu naona ile picha bado hajakoma nayo

Binafsi nimeshtuka mno, hasa neno alilotamka mwishoni mwa hiyo video.