mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 223
Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.
Wema Sepetu ameibuka mshindi katika shindano la Ijumaa Sexiest Girls akiwabwaga Lulu, Nelly, Wolper, Jokate.
Wema ametumia ukurasa wake wa instagram kutoa yaliyo moyoni mwake na ameandika,
"If u got it flaunt it….. Ndo nshashinda…. kama hujapenda kasage chupa kunywa…. maana naona sasa its too much khaaaaaaaa.!
Ebu mnitue mie mtoto wa watu… And again much love to y'all dat support me… nawapenda sana…. nimemaliza…. Award yangu ndo hiiiiiiiiooooooooo…… next year tusubiri mwingine.
Nalala zangu…. tukutane kesho…. najua wengi mnanipenda ni wachache wenye vijiba vyao vya roho…. Wema atabaki kuwa Wema tu… Bhaaaaas.
Nashindwa kuelewa nini kinachoendelea kati ya eric Shigongo na Magazeti yake na Wema sepetu, Juzi kati walikuwa wana ugomvi mkubwa mpaka wema akaenda kuvamia office Za kampuni ya Global publisher, Lakini weekend iliyopita wema sepetu ameonekana akikata utepe wa kuzindua Global Tv Online...Mwenye kujua zaidi uhusiano wao hatujuze tafadhali.
we kweli mchambuzi!!!!!Wala usiumize kichwa mkuu walikuwa wanaigiza tu,GPL wamnunie Wema Sepetu watakula wapi? Wema Sepetu awanunie GPL atatangaza umalaya wake wapi?
Wala usiumize kichwa mkuu walikuwa wanaigiza tu,GPL wamnunie Wema Sepetu watakula wapi? Wema Sepetu awanunie GPL atatangaza umalaya wake wapi?
Walikua wanaigiza tu wala hawajagombanaa, wanafanya biasharaaa hapo wenzenu
na kama siku mbili zake baada ya movie yao wakamwandika tena alivyogombana na kajala
mmmh anaogopa tu wataungana wema na uwoya wamtolee mauchafu yake hadharani na kumnyamba kwenye TV kama walivyomfanyia wolper, alivyomualika naona alikuwa anajikosha tu kumaliza bifu maana alijua akiongeza maadui ndivyo kasi ya kumuangamiza itaongezeka.
Kuhusu eti kwa kuwa bila wema magazeti hayauzi sio kweli, watu wanapenda umbea tu japokuwa wema pia anafuatiliwa sana, nakumbuka kuna kipindi jide aliandamwa na shigongo hadi akawatukana na kuwaambia bila yeye hawawezi kuwa na jeur ya kwenda chooni, ila sio kweli mbona sasa ivi haandikwi na bado magazeti yanauza? Global ndo wanaamua Nani awe on top kwenye magazeti yao , wakianza kumtoa Hamisa na scandal mbali mbali mbona wema mtamsahau??
Nashindwa kuelewa nini kinachoendelea kati ya eric Shigongo na Magazeti yake na Wema sepetu, Juzi kati walikuwa wana ugomvi mkubwa mpaka wema akaenda kuvamia office Za kampuni ya Global publisher, Lakini weekend iliyopita wema sepetu ameonekana akikata utepe wa kuzindua Global Tv Online...Mwenye kujua zaidi uhusiano wao hatujuze tafadhali.
Ila itawabid watumie nguvu nyingi kumpromote huyo mwingine hadi jamii ianze kumtolea macho kama Wema wakati wangekuwa wameshapiga hela nyingi kwa kumuandika Wema ambaye yuko vichwani mwa wapenda umbea tayari