Mmmmmh
Wanaume wa humu kweli mmemchoka, enzi kabla ya vigodoro mngeshafikisha pages nyingi
Inabidi ajitafakari shaaaa, ila ajue kila celeb ana muda wake na wake umepita bahati sijui mbaya gani aliyonayo akupenya. Siku hizi anajaribu na imetoka hiyooooooo