not yet confirmed
mkuu inaonekana hata magazeti ya bongo ya michezo hutupii macho hebu angalia hii jana aliwaaga washabiki wa santos na hukuu machozi yakimtoka cheki hii Neymar quitte Santos en pleurs - Vidéo Football - Video Eurosportnot yet confirmed
sawa mkuu mjukuu wa sheikh yahyaHata musajili nani hapa ni 7up tu
Neymar choose sport over money..
Hakunaga mchezaji anaetoka Brazil anaekuja Barcelona na ashindwe kungara.. Angalia ronaldo di lima, Rivaldo, Ronaldinho na sasa Neymar ndio anakuja europe with 21 years of age..
Kweli barca is more than a club
Mbona sioni Comment za Mourinho na Gang Chomba humu ndani? Madrid wajiandae na vichapo tu.
Mbona sioni Comment za Mourinho na Gang Chomba humu ndani? Madrid wajiandae na vichapo tu.