Kazitunayo JF-Expert Member Mar 30, 2013 3,773 3,160 Nov 30, 2014 #1 wakati ana winding up Mh zitto alisema kwa mara ya kwanza ameudhuria kikao cha UKAWA na aliwamiss sana naamini ni mda muafaka wa kumrudisha mzigoni ili combination ya magogoni itimie...karibu sana Mh haujachelewa sana
wakati ana winding up Mh zitto alisema kwa mara ya kwanza ameudhuria kikao cha UKAWA na aliwamiss sana naamini ni mda muafaka wa kumrudisha mzigoni ili combination ya magogoni itimie...karibu sana Mh haujachelewa sana
Usedcountrynewpipo JF-Expert Member Aug 1, 2012 3,638 2,720 Nov 30, 2014 #2 Zitto kawa mtamu ndio wanamtamani. Wamegundua kuwa Zitto ni Sega lisiloishiwa asali...