Wekeza kwenye maisha yako

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,067
Unapofanya jambo lolote, litazame kwa umakini sana, Uwekezaji unaoufanya Je unawekeza kwenye Maisha Yako au kwenye Mipango ya wengine.

Maana ukikosea kufanya uwekezaji utajuta Maisha Yako Yote. Au kujutia ulichokifanya.

Binadamu anabadilika mda wowote. Na Kuna watu ni Wajanja na waulanghai wa hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…