Wekeni hapa matokeo ushindi wa CCM

Wekeni hapa matokeo ushindi wa CCM

busar

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
1,071
Reaction score
1,069
Naomba matokeo ya chama changu ccm hapa
 
Kazi kwao hao MAGAMBAz maana wanacheza na M4C,Wafu wanakokotana na watajibeba chezea Peoples Power...
 
tuacheni demokrasia ichukue mkondo wake. Kushindwa si dhambi ccm kubalini matokeo.
 
Ccm 0 chadema 600
ccm 2 chadema 800
ccm 1 chadema 400
 
Siasa inaonekana nin tamu sana! siku zote ccm wanachelewesha kutoa matokeo pale wanapojua kuwa wameshindwa! dalili zingeonyesha ccm kushinda! mpaka muda huu matokeo yangekuwa yameshatangazwa! Magamba yanatakiwa kuisha....
 
Lusinde amepelekwa Hospital serian ya Ngara mtoni amepatwa na shinikizo la damu.
 
Back
Top Bottom