Weka sentensi

Are you done??

This taste is great

Do you want another one?? or Hey sis, you want more of this??


We should do this more often..
 
Mlee tu ila mjue na kutafuta
 
Kwa Jina La..
Baba..
Na La Mwana...
Na La Roho Mtakatifu
utubarikie Mungu wetu, sisi pamoja na chakula chetu, tupate nguvu ya kukutumikia vyema amina.
kwa jina la baba na la mwana na la roho mtakatifu.
hii ni wakati chakula tu, tumia maneno katika mambo mengine kama hujaota mapembe kwenye vichuluruu vyenu
[HASHTAG]#HappyBirthdayToMe[/HASHTAG]
 
dah chakula cha leo kina chumvi nyingii
 
MIMi sala zote zipo ukutani nikitaka kula,kuamka au kulala bac hua nasema tu amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…