Kweli nimeamini sasa uko mufliss! Hapa sio siri umekuja na mkwara wa kujifanya mgango wa Jf !
Unachokisamamba hapa ututishe tukukatie vumba dizaini kama rushwa hivi .
Ok tafuta choo basi tukakukatie mkwanja kiasi .
Si lazima iwe vyoo vya Dodoma, tafuta chochote!
Sina hakika hata kama unao uhakika wa tea asubuhi .