Weiter leta Kilimanjaro bariiidi

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,884
Reaction score
1,465
Jamani leo mapemaa kwenye saa 4 hivi asubuh kabwela mwenzenu baada ya kunywa supu nimeamua nianze mapemaa mambo yetu yale kwa kutoa lock kwa KILIMANJARO bariidi...

sasa ndo nikaanza kuwaza kikabwela hivi huyu ndugu yetu bahresa mbona kashawahudumia makundi mengine ya jamii kwa bidhaa zake sasa inakuaje kwa sisi watumia kilaji? au tumemkosea nini?
jaman kama kuna mtu huku jf amfikishie taarifa kuwa katusahau eti! basi angalau atuletee AZAM LAGER, AZAM LIGHT au hata ikiwezekana AZAM KIROBA. jaman yangu ni hayo tuu.

Waiterrr.... KILAMANJARO baridi hapa usisahau bili yangu tafadhal.
 

Hauzi haramu.
 

 
unakoelekea utaulizia azam condom!ita tax uwahi nyumbani
 
HARAM ni wewe unayechagua dhambi haunywi bia lalkini wewe unaendekeza ushoga
 
Hahahahhahahaaaaaaa! Mambo gani haya, Hadi naonekana mwehu sasa,
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…