World Economic Forurm =jokers, real bad jokers!
Mo anaingia kwenye Young Global Leader kwa lipi? Mkwepa kodi huyu anasimamia nini mbali na biashara zake? Kaenda bungeni kulinda mali na sio kuisaidia jamii ya watanzania. Ni lini Mo alisimama bungeni na kuongea mambo yenye maslahi kwa nchi hii?