π€£π€£π€
YeahUnasoma alama za nyakati unagundua hapa sihitajiki basi unajiweka pembeni kiroho safiπ
Salama kwema mkuu?
You are a man....komaa
HahahahaUnajifanyaga kauzu sana we faller wangu
Japo u mtu wa maana sana but jf unajua ukauzu sana
Umewahi kupenda kiuwongo uongo eeeπ€ͺHahahaha
Huyo nampenda kiukweli sio kiuwongo wongo
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hizo zipo za kuzugiaUmewahi kupenda kiuwongo uongo eee
Nitafutie moja ya kuzugia ndg yangu
Kwema kabisa mkuuSalama kwema mkuu?