Weekend Story! Bigger Levels, Bigger Devils

Wasomajiiii sinaaaaa kama Uchebeee! Najisemesha chaji imeishaaa hata hamjiongezi chaji bei gani? Hahaaaaaa! Naingia mtamboni kuandika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wasomajiiii sinaaaaa kama Uchebeee! Najisemesha chaji imeishaaa hata hamjiongezi chaji bei gani? Hahaaaaaa! Naingia mtamboni kuandika
*****, usawa wa magu hakuna kujiongeza.

Ukitaka chaja inabidi uongope jamani Niko ICU bila hela sipewi huduma.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Na kipindi hiki mnada wa kuuza stori uwekwe hadharani tupambane na Dr. Shika (Samaritan).

Huko PM haitapendeza!

[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]

Team mjeda muanze kujiandikisha hapa kwa mwenye kiti wenu asee!
 
Ukimuona Samaritan mwambie nammiss tu mimi
 
Nipo sweetheart, napambana kulegeza vyuma.

Maana kipindi hiki usipo kaa sawa uchumi unakula tigo

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sawa sawa pambana ukuje unigawie na mie
 
[emoji23][emoji23]eti Dr.Shika
Akija hapa natabiri atakuwa team uchebe mana si wamezoea kulelewa kama msomali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…