The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 381
Cd mbona zipi, mwisho wake ni kelly anapojinyonga gerezani kisha tunasubiri mwendelezo this year.Naipataje hii jamani if loving you is wrong niliishiaga pale mtoto wa Alex anataka kutupwa kwenye maji na bibi yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Fanani kawala kiboga, mtoto aliye zaa Jane si mtoto wa samu, fatilieni vizur mtaelewa nini namaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Zipo online sema hazipatikani kwa mpangilio maalum yaani hazijawekwa vizuri kwa mtiririko, cheki hapa https://www.dailymotion.com/search/if loving you is wrongNaipataje hii jamani if loving you is wrong niliishiaga pale mtoto wa Alex anataka kutupwa kwenye maji na bibi yake!
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanasheria MchungajiSasa mbona mnanichanganya! Amueni moja aje Nani! Top 5 comments anakuja Huyo huyo aliependekzwa
Asante boss!Zipo online sema hazipatikani kwa mpangilio maalum yaani hazijawekwa vizuri kwa mtiririko, cheki hapa https://www.dailymotion.com/search/if loving you is wrong
Meneja wa Benki japo one episodeSasa mbona mnanichanganya! Amueni moja aje Nani! Top 5 comments anakuja Huyo huyo aliependekzwa
sweet heart upoo?Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Jamani msinichoshe, nisiwachosheee, nilipokuwa hamna mabaya sanaa wala memaa sanaa, na najua hamnijali sanaa kutaka kujua. Tupeane story.
Story iliopita sikuimalizia bila sababu za msingi kiukweli. Na sitoimalizia sababu isha expire.
Kilichonirudisha kuandika story si kingine ni njaa zangu tu, na my one and only sponsor of all times, MAN OF THE PEOPLE (MOTP) nimempiga kizinga sio cha kitoto, alivo firauni ananizungusha zungusha tu. Mpaka nakaribia kususa. Hamna hamna nimejiongeza mjini ya bure salamu tu, nimuandikie bonge moja ya story akiwa in mood nimchune mie.The hustle is real. Jamani wabeba box wote hamnioniii? Mnisambazie ma western union.
I promise hii story nitaimalizia. Kwanza fupi.
BEN 10 NI FIRE!
JAMANI SI KWA MUALIKO HUU! Nimefanya tu sampling ya comments za readers wangu kwenye stpry 3. Kama nimekuruka bahati mbaya. Ila sitopenda mmiss hili vunja jungu