Weekend story! BEN 10

Tuanze mwaka na Nani? Mwaka huu sitaki kabisaa kuwafanye I vibaya wasomaji wangu! Naitaka kuwapeleka vile mnavotaka kwenda!

Bring back our linda..Hushindwi najua aje amalizane na Ghost
 
Nipende


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lara1 ikikupendeza mlete hata yule Linda ambaye bado naamini "alifeki" kifo chake mwenyewe, if she is still alive leta kipande chake.
 
Mlokole na banker...
Happy New Year Lara1, you are the greatest. Hizi makitu ungepata watu serious wa kutengeneza series ilikuwa kiboko sana aisee, ni award winning scripts!
Yaani kama ile If Loving You is Wrong ni TV show pendwa, hizi za lara 1 zingeoneshwa FOX kabisa na kuwa na viewers wa kutosha, she is such genius aisee
 
Naipataje hii jamani if loving you is wrong niliishiaga pale mtoto wa Alex anataka kutupwa kwenye maji na bibi yake!
Yaani kama ile If Loving You is Wrong ni TV show pendwa, hizi za lara 1 zingeoneshwa FOX kabisa na kuwa na viewers wa kutosha, she is such genius aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…