Weekend hiyo jamani

TWIZAMALLYA

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2011
Posts
397
Reaction score
81
Hii ni weekend moja nzuri sana kwani imeangukia tarehe nzuri kwa wafanyakazi wote. Nawatakia kila la heri,ila jamani maeneo kama buguruni KIMBOKA si maeneo mazuri kutembelea.
 
Na ile sikukuu ya waji..a duniani inaangukia W/end hii!
Kuweni makini machalii wangu!
 
Na mimi niliepanga chumba maeneo hayo tena cha uani nitembelee wapi?
 
Unaishi mazingira hatarishi sana wewe ukizingatia unamatatizo ya kinywa unataka kujiongezea matatizo mengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…