Website ya tume ya ajira

Website ya tume ya ajira

LitmusPaper

Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
33
Reaction score
12
Napenda kuwapongeza watu wa tume ya ajira. Website yao iko active...! Inatoa taarifa muhimu na za uhakika. Sio mbaya nawewe ukapongeza hapa, hata kama uliomba kazi ukakosa.
 
Wale watu wapo serious sana ila sishangai maana vichwa vilivyopo pale si vya kubahatisha
 
Back
Top Bottom