Website Mashariki Forums Inauzwa

Website Mashariki Forums Inauzwa

mediapix

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2014
Posts
485
Reaction score
90
Website tajwa hapo juu ninaiuza kutokana na kukosa muda na nguvu kazi ya kuiendeleza.
hadi sasa imeungwa na google adsense.
Imehostiwa na yatosha web services

Habari na post zinajiweka zenyewe kila siku automatic kutoka mitandao mbali mbali kama vile BBC, ANDROID CENTRAL, CNET, JAMII FORUMS na Mengine ambayo utachagua.

Nitakupa maelekezo bure jinsi ya kutumia na kubadilisha chochote kwenye iyo website
kwa maelezo ya kina zaidi

0717 970 054

au ni PM hapa hapa jf

Bei ni TSH 150,000/=

Nawasilisha.
 
Haya kiongozi subiri watakuja.
 
Back
Top Bottom