Karibuni sana tufanye kazi,
Faida ya kuwa na email zinazoendana na jina lako LA kibiashara ni kujitangaza zaidi, na kujitofautisha na wengine
Kuwa na tovuti, ukimiliki tovuti yako mfano vanniglo.co.tz
Hii inakusaidia watu mbali mbali kukufuatilia na kupata taarifa za huduma zako, na pia inakusaidia watu wakirafuta aina ya huduma hiyo kupitia google wewe nawe utafikiwa , km tunavyoelewa watu wengi hutumia google kutafta mambo mbali mbali kwenye mtandao, hivyo fursa ya kuwa na tovuti au website inakuwezesha nawe uwe miongoni mwa majibu yatakayotokea kwa mraftaji hibyo kukufanya utambulike zaidi na zaidi,
Gharama zinaanzia laki 4 tu na unapata domain, yaani jina mfano biashara.co.tz , hosting ya 1GB kwa mwaka , website ya kisasa yenye maboresho ya kuonekana kwenye simu vizuri na kupatikana kwenye google.
mkuu ukiwa unatangaza biashara hakikisha na wewe uko poa nikiwa na maana mtu anapo kuja kwenye link yako anaweza kuji ridhisha kuanzia mwanzo mpaka mwisho mfano
nimejaribu kuweka site ila kinacho tokea ni hikkiii ina maana wewe hujamaliza hata matengenezo unakimbilia kutafuta wateja
basi hili sawa ukija hapa tena unakutana na link ziko chini hata huja zielezea jitahidi sana kuwa unafanya kitu toka moyoni usi bet kujitangaza kibiashara kama hauna huakika uta fail au utajikuta unakata tamaa.
Ofa kabambe ya mwezi September ni kwa Watu kumi tu . Tunatoa ofa hii kwa mwezi huu ili kuhimiza na kusaidia watu wengi wajue umuhimu wa kutumia website kibiashara au shughuli mbali mbali . Kutumia email zinazo akisi jina la biashara.
Website inakufanya upate ofisi yako online ya kuwaelewesh shughuli zako wateja.
Karibuni sana
Bei kawaida ni domain .tz 25000
Hosting 1Gb 100,000
Website design unapewa cost baada analysis ya mahitaji yako