we ukiwa na kazi nipe, kisha utaelewa namaanisha nini mkuu wangu, tuliza munkari mkuu
Fadhili Paulo, wewe ndo unaejua nini cha kufanya. usitegemee ushauri tu, wala usitegemee njia moja tu, au software moja tu, sikukupotezea mteja mkuu ulimpoteza mwenyewe, kama kweli una nia unajua cha kufanya, uwe wise