WEBSITE DESIGN, WEB HOSTING, DOMAIN REGISTRATION

alphonce.NET

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Posts
1,723
Reaction score
6,077
Tunatengeneza tovuti (websites) zenye ufanisi, muonekano wa kisasa na zinazokidhi mahitaji ya biashara au taasisi yako — kwa haraka na kwa bei nafuu sana.

Tovuti iliyokamilika: TZS 200,000 tu!

Kwa ajili ya biashara au taasisi yako, tutakutengenezea tovuti itakayokusaidia kuitangaza biashara/huduma yako, kuongeza uaminifu wa wateja na kufikisha taarifa zako kwa watu wengi zaidi wanaohitaji bidhaa au huduma zako.

Rahisi kutumia na kusimamia
Tunatumia mfumo unaokuwezesha kubadilisha na kusasisha maudhui (contents) ya tovuti yako mwenyewe, bila kuhitaji mtaalamu kila unapohitaji kufanya mabadiliko.

Wasiliana nasi leo na utuambie mahitaji yako pamoja na aina ya tovuti unayohitaji.

0767659145, 0787659145
 
kwa kutumia AI sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…