Kaka nimeangalia hiyo website ya Sheda timber, kuna ile picha ya kwenye Home Page chini ya Welcome to Sheda Timber...INACHELEWA sana kufunguka...nikai download naona ina dimensions za 2288X1712 (ina maanisha kama ilivyokuwa kwenye kamera)...UMESHINDWA KUIPUNGUZA DIMENSION NA KUIFANYIA OPTIMIZATION ILI ANGALAU WEBSITE I LOAD FASTA....ni ushauri tuu na kujaribu kuwa more professional