Binafsi Naweza kuutegnezea tovuti kama free-lance Developer lakini kwakuwa unataka kampuni pata Quotation ya kampuni kama tano.Tena Muulize (mpm) Invisble nadhani JF nayo wanatoa huduma ya Kuhost na kudevelop tovuti
Mkuu naomba ushauri wako kidogo.
kwanini unahitaji kutoka Dar Es Salaam"web hosting and designing company Dar es salaam"
Au sikuelewa unachomaanisha?Kwa mfano ukapata kampuni bora,inayozizidi zote za Dar Es Salaam,hutaitumia?
Asante.
RE