Web Developement Projects

jasyfabiano

Member
Joined
Dec 19, 2014
Posts
18
Reaction score
35
Habarini za mida wana JF wenzangu,
Nimekuwa nasoma vitabu juu ya kutengeneza tovuti kwa kutumia lugha kama vile HTML,JAVASCRIPT,CSS.
Ni projects zipi ambazo naweza kujaribu kuzifanya ili kujiweka zaidi ?
 
Anza na header na basics au tafuta mtu wa kuanza naye na tumia apps kama dreamweaver iko complex but inajusaidia kupangilia na kukariri code vizuri.
 
Anza na header na basics au tafuta mtu wa kuanza naye na tumia apps kama dreamweaver iko complex but inajusaidia kupangilia na kukariri code vizuri.
Bado sijampata mtu wa kuanza nae
 
<!DOCTYPE html>
<html>
<body>

<ul>
<li><a href="#home">Nyumbani</a></li>
<li><a href="#Udaku">Udaku</a></li>
<li><a href="#News">Habari</a></li>
<li><a href="#Sports">Michezo</a></li>
</ul>

<p>Note: We use href="#" watanzania.</p>

</body>
</html>

CHUKUA HIZO CODES ZA KUCREATE MENU KWENYE WEB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…